Psalms 37:9-11


9 aKwa maana waovu watakatiliwa mbali,
bali wale wanaomtumaini Bwana watairithi nchi.


10 bBado kitambo kidogo, nao waovu hawataonekana,
ingawa utawatafuta, hawataonekana.

11 cBali wanyenyekevu watairithi nchi
na wafurahie amani tele.

Copyright information for SwhKC